Connect with us

Video | Audio: Hezekia Helbert – Natamani Niwe

Audio

Video | Audio: Hezekia Helbert – Natamani Niwe

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Hezekia Helbert na hii ni video ya wimbo wake mpya uitwao Natamani Niwe.

Video hii imeongozwa na director Yotham Lyhoba, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Pushup chini ya mikono ya prodyuza Innocent Mujwahuki.

“Natamani Niwe ni wimbo wa uamsho unaotuhimiza kumtaka Yesu kuwa mwamba na mwokozi wetu kila siku pasipo kujali nini tunapitia kwasababu mipango ya Mungu ni kutuinua na kuondoa aibu zetu mbele za maadui wenye hila, hakika wimbo huu utagusa na kukuongezea jambo jema ndani ya moyo wako, Barikiwa” – alisema Hezekia

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Hezekia Helbert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 693 894 au +255 744 655 190
Facebook: Hezekia Helbert (Gospo RNB)
Instagram: @hezekiahelbertgospornb
Youtube: Hezekia Helbert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top