Connect with us

Audio: Heaven Voice Singers – Uzima Kifoni

Heaven Voice Singers - Uzima Kifoni

Muziki

Audio: Heaven Voice Singers – Uzima Kifoni

Heaven Voice Singers - Uzima Kifoni

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tunautambulisha kwako wimbo uitwao Uzima Kifoni kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania linalofahamika kwa jina la Heaven Voice Singers.

“Yesu ameifanya njia…Baada ya maswali yaliyokosa majibu…Amerejesha Tumaini baada ya dhiki isiyo kifani…Ameleta amani moyoni…na uzima katika maskani ya moyo uliokwisha zimia kwa simanzi…ndio maana tunasema Yesu ni Uzima kifoni.” – Heaven Voice Singers

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Heaven Voice Singers kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 758 697
Youtube: Heaven voices

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top