Connect with us

Video: Havoc Musiq – Easy

Havoc Musiq - Easy

Muziki

Video: Havoc Musiq – Easy

Havoc Musiq - Easy

Kutoka nchini Kenya kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo uitwao Easy kutoka kwa Havoc Musiq.

“Easy is a song to encourage every person consuming my craft that God is able,regardless whatsoever situations we encounter.Even as the Bible itself says BE STILL AND KNOW THAT I AM GOD!” – Havoc Musiq

Video hii imeongozwa na director Trey Juelz, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Krucial Sounds,  Chini ya mikono ya prodyuza Johnttez.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa.

Social Media
Facebook: Havoc Musiq
Instagram: @havocmusiq
Twittter: @havocmusiq
Youtube: Havoc Musiq

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top