AudioVideo

Video | Audio: Havoc Feat. Rufftone – Show Dem

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekuletea video ya wimbo uitwao Show Dem kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Havoc Musiq akiwa amemshirikisha Rufftone.

Video hii imeongozwa na director Richie G. , Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Krucial Sounds chini ya mikono ya prodyuza Johnttez.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Havoc Musiq
Instagram: @havocmusiq
Twittter: @havocmusiq
Youtube: Havoc Musiq

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Angel Benard - I SURRENDER

Next post

Video | Audio: Masterpiece & Moji Shortbabaa - Fresh