Connect with us

Habari Picha,Semina Ya Unlimited BreakThrough ilivyofanyika Desemba 18 ndani ya Arusha

Uncategorized

Habari Picha,Semina Ya Unlimited BreakThrough ilivyofanyika Desemba 18 ndani ya Arusha

Global Family Gatherings ni huduma iliyoko chini ya Apostle Shemeji Melayeki yenye makao yake makuu jijini Arusha jengo la MEC House Mianzini ambayo hufanyika siku za Alhamisi saa 11:00 hadi 12:30 na kila jumapili saa 9:00 hadi 12:00 jioni. Huduma hii imeanzishwa kwa lengo kubwa moja kurudisha hadhi ya kanisa la Mungu kupitia mafundisho kamili/sahihi ya neno la Mungu yenye kueleza ubora uliopo ndani ya Ufalme wa Mungu.

Pia GFG imefanikiwa kufanya tukio “Seminar/Tamasha”  Tarehe 18.12.2016 ukumbi wa Corridor Springs Hotel,  iliyoleta sura mpya ya matuko ya injili jijini Arusha. Tukio hilo lilihudhuriwa na mwalimu Geophrey Kingu tokea Daresalaam ambaye alifundisha, Apostle Shemeji Melayeki, Machalii wa Yesu na Jay Johnas.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Uncategorized

To Top