Habari

Habari picha za uzinduzi wa muimbaji Evarist Makela uliofanyika Agosti 06, 2017

Muimbaji wa muziki wa injili Tanzania Evarist Makela amefanya uzinduzi wa albamu yake ya WEMA WA MUNGU jijini Dar es salaam katika kanisa la T.A.G Mtoni mtongani siku ya tarehe 06.08.2017, ikiwa imebeba jumla ya nyimbo 9 na kusindikizwa na waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya mkoa wa Dar es salaam.

Vijana wakiserebuka jukwaani na Neema Chavala

Muimbaji Neema Chavala akifanya yake jukwaani

Ununuzi wa albam ukiwa unaendelea.

Kikundi cha kusifu na kuabudu kikiwa jukwaani

Watu wakifuatilia kwa umakini uzinduzi wa Evarist Makela

MC akisherehesha hadhira.

Watu wa Gospel Comedy nao hawakuwa nyuma katika kuweka sawa mbavu za watu.

Kwa mawasiliano zaidi juu ya kuipata album yake mpya na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Evarist Makela kupitia:
Simu: +255 712 676 917
Facebook: Evarist Makela
Instagram: @evaristmakela

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Audio: Dee Jones - Nothing Is Impossible

Next post

Tazama Video | Download Audio: Sebastian Silas - Moyo Wangu