Uncategorized

Habari Picha Za Uzinduzi wa Album ya Sitasumbuka ya Mwimbaji Lightness Vincent Novemba 13,ndani ya kanisa la Maisha ya Ushindi ziko hapa..

Jumapili ya jana Novemba 13 mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Lightness Vincent aliandika historia mpya katika kitabu cha huduma yake baada ya kuzindua DVD ya album yake ya pili inayokwenda kwa jina la Sitasumbuka.

Uzinduzi huo uliofanyika katika kanisa la Maisha ya Ushindi, Ubungo External ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam na kupambwa na waimbaji pamoja na wadau mbalimbali wa muziki wa Injili Tanzania.

Baadhi ya wadau na waimbaji waliokwepo katika uzinduzi huo ni pamoja na Mtangazaji wa kituo cha radio cha Praise Power,Boniphace Magupa ambaye ndiye alikuwa MC pamoja na mke wake Jessica BM ambaye ni mwimbaji na alihudumu,Mwimbaji na Mtangazaji Bishop Ben (Ben Bonge), Mtangazaji Innocent Mashauri na Hossein Gabriel wote kutoka Praise Power radio.

Wengine ni Happy Balolo,Emmanuel Choir, Silvanus Mumba,The Messengers Band , Kasaki Selemani pamoja na Bomby Johnson.

Baada ya Praise team kuongoza sifa na kuabudu, The Messengers Band walifungua kwa kuimba nyimbo mbili..

Zifutazo ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea kwenye tamasha hilo….

dsc09444

The messengers Band wakihudumu kwenye uzinduzi wa Lightness Vincent.

dsc09448 dsc09446

dsc09449

Baadhi ya watu waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Lightness Vincent

dsc09453

Meza ya Mgeni rasmi na wageni maalumu

dsc09435

dsc09481

Happy Balolo naye alikwepo kuhudumu

dsc09479

dsc09490

Mtangazaji Boniphace Magupa alikwepo kama MC wa katika uzinduzi huo.

dsc09504

Emmanuel Choir wakitumika.

dsc09502

dsc09526

Bishop Ben akifanya yake..

dsc09528 dsc09524

dsc09539

Janeth Jimmy akihudumu

dsc09544

dsc09560

Jessica wa Bm akilishambulia jukwaa

dsc09551

Hatimaye ukafika muda wa Lightness Vincent Kupanda jukwaani..dsc09615 dsc09628 dsc09630 dsc09632 dsc09638 dsc09643 dsc09644 dsc09647 dsc09653 dsc09622 dsc09623

dsc09708

Risala kwa mgeni rasmi.

dsc09704

Baada ya Lightness Vincent kuimba wimbo wa kwanza uzinduzi wa album ukafuata..

dsc09697

Wachungaji wakiiweka wakfu album ya Sitasumbuka

dsc09692

dsc09752

Mgeni rasmi akikata utepe kwa niaba ya Alex Msama ishara ya kuizundua album hiyo

dsc09750 dsc09746 dsc09757

Baada ya Uzinduzi Lightness akapanda tena kuimba wimbo wa pili..

dsc09737 dsc09732 dsc09725 dsc09684 dsc09680 dsc09676 dsc09666 dsc09670

Baada ya Lightess Kushuka jukwaani Shughuli ikafungwa na waimbaji wengine akiwemo Kasaki Selemani na Silvanus Mumba.

dsc09773 dsc09788 dsc09844

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Kionjo cha Video ya Ritha Komba,Mungu wa Ajabu itakayotoka hivi karibuni.

Ritha Komba
Next post

Xclusive Interview:Mfahamu zaidi Ritha Komba Mwimbaji na Mtunzi wa nyimbo za Injili na Ujio wa Album yake mpya.