Habari Picha za Uzinduzi wa Album ya Nimegusa Vazi Ya Witness Mbise Ndani ya Kanisa la CAG Ubungo - Gospo Media
Connect with us

Habari Picha za Uzinduzi wa Album ya Nimegusa Vazi Ya Witness Mbise Ndani ya Kanisa la CAG Ubungo

Uncategorized

Habari Picha za Uzinduzi wa Album ya Nimegusa Vazi Ya Witness Mbise Ndani ya Kanisa la CAG Ubungo

Jumapili ya Jana katika kanisa la CAG Ubungo Maziwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Witness Mbise amezindua album yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la Nimegusa Vazi.

Katika Uzinduzi wake huo Witness Mbise alisindikizwa na waimbaji mbalimbali akiwemo Upendo Nkone,Martha Mwaipaja, Joshua Makondeko, Beatrice Mwaipaja, Faraja Ntaboba, Ikupa Mwambenja na wengine wengi.

GospoMedia kwa upekee tumekuwekea baadhi ya matukio yaliyotokea Jana kwenye uzinduzi huo..

Joseph Joel Akifanya yake jukwaani

Waimbaji Christina Seme na Richard MMari ambao ni wanandoa walikwepo kumsindikiza Witness Mbise

 

Ikupa Mwambeja naye hakuwa nyuma na kibao chake cha Uzuri wako

Nyomiiiii

Ann Annie Kutoka Moshi naye Alikwepo

Tumaini Njole katika Ubora Wake

Beatrice Mwaipaja Naye aliwafikisha Watu Salama

Mama mzazi wa Witnes Mbise akiwa ukumbini

Joshua Makondeko naye akapita katikati yao

Enock na Edo nao waliwasha moto

Badaa ya waimbaji kadhaa kuimba ,hatimaye Witness Mbise akaingia ukumbini

Witness Mbise Akiingia ukumbini

Baada ya kuingia ukumbini Witness Mbise aliimba wimbo mmoja kisha kusoma risala kwa mgeni rasmi

Witness akisoma risala kwa mgeni rasmi

Mgeni rasmi akisikiliza risala kwa makini

Baada ya Risala Witness Akaimba Wimbo wa Nimegusa Vazi ambao umebeba album ,kisha uzinduzi ukafuata

 

Baada ya Kugusa vazi Album ikazinduliwa rasmi

Baaada ya kuzinduliwa kukafanyika changizo fupi kwa njia ya kukata keki

Baada ya changizo uimbaji ukaendelea mpaka mwisho

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Uncategorized

To Top