Habari

Habari Picha za Tukio la TeenTalk Ambalo Huandaliwa na Kanisa la Fpct-City Church-Buguruni. Hizi Hapa.

TeenTalk ni Tamasha linaloandaliwa na Kanisa la Fpct-City Church kwa lengo la kuwakusanya vijana pamoja ili wapate kufahamiana na kubadilishana mawazo huku wakipatiwa Masomo tofauti tofauti kutoka kwa walimu wanaokuwa wameandaliwa kwa siku hiyo, Kanisa hilo linapatikana Buguruni stand ya Muhimbili..

TeenTalk ya safari hii ilikuwa na Mada isemayo JINSI YA KUWA NA NDOA IMARA (kwanini ndoa nyingi zinavunjika zikiwemo za wakristona mnenaji wa siku hiyo alikuwa Rev.Sospeter Mabele huku kwenye upande wa kusifu na kuabudu walikuwa The soul music Band chini ya Miriam Jackson na CCWT.

TEENTALK ni tukio ambalo hufanyika mara moja kwa mwezi na huangukia siku za tarehe 13-19 ndio unapata maana ya TEENTALK, kwa mwezi huu iliangukia tarehe 17 novemba na mwezi Disemba itakuwa Alhamisi ya tarehe 15 na hizi ni baadhi tu za picha za tukio zima.

Miriam Jackson akiimba kwenye TEENTALK

Mwimbaji Miriam Jackson akiimba kwenye TEENTALK.

dsc00050

dsc00025

kijana Elisha Makya akifuatilia somo kwa makini

kijana Elisha Makya akifuatilia somo kwa makini.

vijana wakiburudika kwa sebene safi iliyokuwa akitolewa na band ya Miriam Jackson

Vijana wakiburudika kwa sebene safi iliyokuwa akitolewa na band ya Miriam Jackson.

Vijana wakifuatilia tukio zima

Vijana wakifuatilia tukio zima.

Sam Batenzi mwenye kaptula na tshet nyeusi akicheza sebene murua aliyokuwa ikipigwa na band ya Miriam Jackson

Sam Batenzi mwenye kaptula na tshet nyeusi akicheza sebene murua aliyokuwa ikipigwa na band ya Miriam Jackson.

vijana wakifuatilia somo la mahusiano kwa umakini lililokuwa likitolewa na mwalim Mabele

Vijana wakifuatilia somo la mahusiano kwa umakini lililokuwa likitolewa na Mwalimu Mabele.

burudani ikiendelea ndani ya TeenTalk

Burudani ikiendelea ndani ya TeenTalk.

sebene imekolea vijana ndani ya Yesu

sebene imekolea vijana ndani ya Yesu

mambo yamenogaaaaaa!!!!!!!!

Mambo yamenogaaaaaa!!!!!!!!

Dada Hellen akifunga kwa maombi

Dada Hellen akifunga kwa maombi

dsc00177

dsc09930

Vijana wakitabasamu mbele ya camera ya GospoMedia ndani ya TeenTalk.

Vijana wakitabasamu mbele ya camera ya GospoMedia ndani ya TeenTalk.

dsc09994

dsc09997

dsc09991

dsc09971

dsc00179

Miriam Jackson on stage

Miriam Jackson on Stage

Kwa mawasiliano zaidi na kufahamu mwezi ujao kutakuwa na mada gani na waimbaji gani ndani ya TeenTalk ijayo au kufahamu kanisa hili lilipo watafute kwa namba zifuatazo:
+255713-991 016, +255752-777 333, +255784-824 624.

Kaulimbiu ; teenTalkMTOKO WA KISTAARABU.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Onstage: Silvanus Mumba alivyoimba wimbo wa nitasubiri kwenye uzinduzi wa album ya Sitasumbuka ya Lightness Vincent

Next post

Baada ya Kufunga Ndoa, Mwimbaji Kelvin Bosco Amemzawadia Mke Wake Wimbo Huu..