Habari

Habari Picha za Tamasha la Wanawake Waombolezao Kitaifa 20.07.2017. Hizi Hapa.

Tamasha la wanawake waombolezaji huwa linafanyika kila mwaka Tanzania na awamu hii lilikuwa la nane ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Millinium Tower wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam. Tamasha hili lilizinduliwa na Naibu Waziri wa Elimu Injia Stella Manyanya  kwa niaba ya Makamu wa Rais Bi.Samia Hassan Suluhu.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Muimbaji Boaz Danken Kuzindua Album Mbili Mwezi wa 8 Jijini Mwanza

Next post

Fahamu Jinsi Ya Kumfundisha Mtoto Wako