Habari

Habari Picha za Tamasha la Mshindi wa Tatu wa GSS-2016 Rogate Kalengo Lililofanyika Novemba 13-2016.

Hili ndilo Tamasha pekee ambalo limefanywa na mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania Rogate Kalengo ambaye pia aliwahikuwa Mshindi wa Tatu wa Shindano la Kusaka Vipaji vya uimbaji lililokuwa likifahamika kama Gospel Star Search(GSS-2016).

Hizi ni baadhi ya picha zilizonaswa na timu ya gospomedia katika tamasha hilo lililopewa jina la A RISE AND SHINE.

bb

9

ll

gd

gtr

Rogate Kalengo akiimba Jukwaani

Rogate Kalengo akiimba Jukwaani

jjuu

lo

oijuhgt

oju

om

p

pk

 

Tamasha hilo lilifanyika ndani ya Kanisa Uhuru Moravian Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu mbalimbali kutoka pembe za Jijini hilo. Pia Rogate amesema ataendelea na kuandaa matamasha ya namna hii ya kuwezesha kuinua vipaji vya watu mbalimmbali na litaendelea kuitwa hivyo hivyo A RISE AND SHINE.

rogate-kalengo-artwork

gospomedia.com pia tunakukaribisha kumpa sapoti mwimbaji Rogate Kalengo kwa kuupakua(kudownload) na kuusikiliza wimbo huu kisha utawashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo na hakika utabarikiwa sana kwa ujumbe mzuri ulio katika wimbo huu wa KUNA NAMNA. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255769103087
Facebook: Rogate Kalengo
Instagram: @rogatekalengo
YouTube: Rogate Kalengo
Email: rogatekalengo@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Mwimbaji Shadrack Robert Kuzindua album yake ya Ashengai,Desemba 4 GloryLand Internal Church Arusha.Usikose.

Next post

Jenifer Mahumbi "Nakuja Kivingine"