Connect with us

Habari Picha za Tamasha la “Altar of Worship” Arusha Tarehe 29.10.2017.

Matukio

Habari Picha za Tamasha la “Altar of Worship” Arusha Tarehe 29.10.2017.

Altar Of Worship (Madhabahu Ya Ibada) ni ibada endelevu za kusifu na kuabudu
zinazoshirikisha waimbaji binafsi pamoja na makundi ya kusifu na kuabudu”
Amesema Sara Ndossi mwanzilishi wa tamasha hili.

Ratiba zilizopo sasa ni kuzunguka mikoa tofauti nchini nikianza na mkoka wa Arusha ambapo nilifanya tamasha hili tarehe 29 Ocktoba 2017 katika kanisa la Calvary Temple nikishirikiana na Boaz Danken, Eliya Mwantondo na Calvary Praise Team hakika ilikuwa siku ya baraka sana.

Ikumbukwe kuwa Tamasha hili kwa mara ya kwanza lilifanyika jijini Dar es salaama katika ukumbi wa kanisa la VCCT, Mbezi beach likishikirisha waimbaji mbalimbali wakiwemo Bomby Johnson.

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Matukio

To Top