Uncategorized

Habari Picha za Mkesha wa Revival Celebration Karatu. 17.02.2017. Hizi Hapa.

A Revival Celebration ni mkesha wa sifa na kuabudu ulioandaliawa na kijana Clement Kingo kwa lengo la kumfanyia Bwana shangwe na huu ni mwanzo tu wa mwenedelezo wa ibada hizi ambayo imefanyikia mkoani Arusha, wilayani Karatu.

Matukio haya yanatarajiwa kuwa na mwendelezo kwakuwa sehemu yanapofanyika siyo sehemu penye matukio kama haya na bado watu hawawezi kuja pamoja bila kutojali madhehebu yao na kumwabudu Bwana kirahisi, bado wanahitaji maombi ili kuweza kupata mpenyo kwa kupitia huduma hii.

Mkesha huu ulifanyika katika ukumbi wa chuo cha Youth With A Mission (YWAM) na ilihusisha waimbaji kama Kelvin Weber, Jay Johnas, Machalii Wa Yesu na wengine wengi wakimsifu na kumwabudu Bwana.

Mwandaaji wa tukio hili Clement Kingo.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel - Hata Hilo Linapita

Next post

Xclusive: Kutana na Richard Mmari na Christina Seme,Wanandoa Wanaoimba Pamoja.