Uncategorized

Habari Picha za Mastaa Waliohudumu Katika Tamasha la Uzinduzi wa Dvd Album ya Mwimbaji Ikupa Mwambenja Adonai Nov 06.2016 Mbeya.

Mnamo Novemba 06, 2016 mwimbaji Ikupa Mwambenja aliweza kuachia album yake mpya inayokwenda kwa jina la ADONAI ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo nane ukiwa umehudhuliwa na maelfu ya watu na waimbaji mbalimbali kutoka Dar es salaam kama vile Upendo NkoneChristina Shusho, Upendo Sapali na Moses Simkoko na wenyeji wa kutoka Mbeya, alikuwepo Malkia wa muziki wa injili Happy Kamili, Tumaini MbembelaBahati, Festina Mwandwanga, Fabian Moden na Kameka toka mkoani Tanga.

Hizi ni baadhi ya picha za tamasha la uzinduzi wa album hiyo ya mwimbaji Ikupa Mwambenja ADONAI.. Karibu!

christina Shusho akiwa jukwaani

Mwimbaji Christina Shusho akiwa madhabahuni tayari kwa huduma.

brg

feds

sde

ytd

sfrg

dsc_0014

dsc_0021

dsc_0143

dsc_0352

dsc_0247

dsc_0546

dsc_0530

dsc_0525

dsc_0035

dsc_0226

dsc_0416

dsc_0143

dsc_0356

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Ikupa Mwambeja wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp +255 654787419
Facebook: Ikupa Mwambenja
Instagram: @ikupamwambenja

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Christina Shusho na Upendo Nkone Kupamba Uzinduzi Wa DVD Ya Hatulegei Ya DGC.

Next post

Habari picha za Mwimbaji Ikupa Mwambenja Akiwa Studio na Waimbaji Mbalimbali wa Muziki wa Injili Tanzania.