Burudani

Habari Picha za HILASTERION Tarehe 18-19 February. Jijini Arusha Hizi Hapa.

Pastor Yosiah Nehemiah akimshukuru Mungu ili kuanza kufundisha.

“HILASTERION (Kiti Cha Rehema). Kiti cha upatanisho kati ya Mungu na Mwanadamu sehemu ambayo Mungu anafanya faragha na Mwanadamu kwa kuwaondolea hukumu wanayostahili kwa njia ya Damu ya Yesu Kristo ndiye kiti cha Rehema” alisema Pastor Yosia Nehemia.

Hilasterion imefanyika Arusha katika ukumbi wa hoteli ya Corridor Springs ambapo imehusisha watu wa makanisa mbalimbali chini ya Huduma ya Grace For Grace (G4G) chini ya Pastor Yosiah Nehemiah.

Tukio hili la siku mbili tarehe 18 na 19 February limekuwa na mafundisho pia uimbaji kutoka kwa PCASF, Machalii Wa Yesu, Novic na Gelax na pia mchekeshaji Mwandete.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Geraldine Oduor Mwimbaji kutoka Nchini Kenya Awashauri Waimbaji wa Tanzania Namna ya kutunza Talanta zao.

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mathias Gabriel-Yesu Ni Uzima