Habari Picha za Charis Conference Arusha Tarehe 13-14 Oktoba 2018. - Gospo Media
Connect with us

Habari Picha za Charis Conference Arusha Tarehe 13-14 Oktoba 2018.

Habari

Habari Picha za Charis Conference Arusha Tarehe 13-14 Oktoba 2018.

Pastor Yosiah Nehemia na Apostle Shemeji Melayeki wakifundisha.icha za

Charis Conference ni mfululizo wa semina zilizoandaliwa kwa pamoja na huduma mbili yaani Global Family Gatherings Ministries inayoongozwa na Apostle Shemeji Melayeki pamoja na Grace For Grace inayoongozwa na Pastor Yosia Nehemiah.

CHARIS (inayotamkwa Karis) ni neno la Kiyunani/Kigiriki lenye maana ya Neema (Grace).

Lengo la semina hizi ni kumfunua Kristo na ukweli kuhusu injili kwa njia ya mafundisho, Yesu Kristo alisema “na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma” Yohana 17:3.

Semina hizi zitakuwa zikifanyika kwa muda wa siku mbili mfululizo katika mikoa 7 ambayo ni:

  1. Arusha (Ambayo imeshafanyika tarehe 13-14.
  2. Morogoro tar 24-25 Novemba.
  3. Dar Es Salaam tar 29-30 Disemba.
  4. Mwanza.
  5. Dodoma
  6. Songea.

Photo Credits to: Dolaa Kazi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Habari

To Top