Habari

Habari: Mchungaji Faraja Hamuli wa Kanisa la T.A.G Amepata Ajali ya Gari.

Kutoka mkoani Dodoma kwa taarifa zilizotufikia sasa ni kwamba Mkurugenzi wa Wanawake Taifa wa T.A.G Mchungaji Faraja Hamuli wa kanisa la TAG amepata ajali jana tarehe 18.02.2017 akitokea mkoani Dodoma kuelekea Kilimanjaro ambapo mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana ila kwa taarifa zilizotufikia ni kwamba mchungaji huyo kwasasa amelazwa katika Hospitali ya Dodoma na wajeruhi wengine waliokuwemo katika gari hiyo. Tuendelee kumuombea Mkurugenzi wa wanawake Taifa wa T.A.G,  Mchungaji Faraja Hamuli.

 

 

Gari iliyopata Ajali.

Baadhi ya majeruhi ambao walikuwa kwenye gari hiyo.

Timu ya gospomedia.com itaendelea kukupa taarifa zaidi kadri zitakavyokuwa zinatufikia.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Elvis Kiwanga - I believe

Next post

Tazama Picha kumi za Mwimbaji Rogate Kalengo akiwa katika pozi tofauti.