Habari

Habari: Mbasha Asema Hawezi Kuwa Model, Afunguka Kwanini Anapenda Kuvaa Vizuri.

Watu Wengi hupenda kumzungumzia Mwimbaji Emmanuel Mbasha kama mtu anayevaa vizuri zaidi, waswahili wanaita kunyuka pamba. mara kadhaa Mbasha amenukuliwa akisema kuwa ana idadi kubwa ya mavazi aina ya suti ambayo huyabadilisha mara kwa mara ili kutunza muonekano wake. Baadhi ya Watu wamekuwa wakitoa maoni kuwa mwimbaji huyo ambaye ni mume wa zamani wa Madam Flora anaweza akafanya vizuri kwenye tasnia ya mitindo (Modeling). Kamera ya GospoTv iliweza kumulika Bwana Mbasha na kumtaka atujuze kama ana mpango wowote wa kuwa mwanamitindo (Model) kama watu wengi wanavyosema? na Hiki ndicho alichojibu.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video: Mwimbaji Simon Rweikiza Akielezea harakati zake za Muziki Baada Ya GSS na Album Yake Mpya

Next post

Video: Joshua Mlelwa Amefunguka Kuhusu Kundi La Kijitonyama Upendo Group,Je Limekufa?