Connect with us

Video | Audio: Guardian Angel & Paul Clement – Wakati Wa Mungu

Video

Video | Audio: Guardian Angel & Paul Clement – Wakati Wa Mungu

Shalom mwana wa Mungu leo kupitia tovuti yako pendwa nimekuosogezea video mpya na yenye kubariki iitwayo Wakati wa Mungu kutoka kwenye colabo ya waimbaji wawili wanaofanya vizuri kwasasa katika kiwanda cha muziki wa Injili Afrika mashariki hapa namzungumzia Guardian Angel akiwa na Paul Clement ambao kwa pamoja wameungana kufanya kazi hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua sana.

Video hii imeongozwa na director Richie-G kutoka studio za ATL Entertainment na muziki ukiwa umetayaarishwa na prodyuza Vicky Pondis kutoka studio za Simba Sound Production akishirikiana na studio za Fisher Records.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina imani utakwenda kubadilisha maisha yako siku zote kuanzia leo, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Gurdian Angel kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 713 531 359
Facebook page: Guardian Angel
Instagram: @guardianangelglobal
Youtube: Guardian Angel Global

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Video

To Top