Video | Audio: Guardian Angel - Tuko Same - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Guardian Angel – Tuko Same

Audio

Video | Audio: Guardian Angel – Tuko Same

Mwimbaji maarufu kutoka nchini Kenya Guardian Angel kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Tuko Same”.

Video hii imeongozwa na director Richie G, Muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Magix Enga na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Productions chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Barikiwa.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook page: Guardian Angel
Instagram: @guardianangelglobal
Youtube: Guardian Angel Global

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top