Connect with us

Video: Guardian Angel – Kenya

Guardian Angel - Kenya

Muziki

Video: Guardian Angel – Kenya

Guardian Angel - Kenya

Kutoka jijini Nairobi leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Kenya kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili nchini Kenya maarufu kama Guardian Angel.

Video hii imeongozwa na director Nezzoh Montana, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu, Ni imani yetu kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Guardian Angel
Instagram: @guardianangelglobal
Youtube: Guardian Angel Global

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top