Video | Audio: Guardian Angel Feat. Esther Wahome - Ni Wewe - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Guardian Angel Feat. Esther Wahome – Ni Wewe

Audio

Video | Audio: Guardian Angel Feat. Esther Wahome – Ni Wewe

Kutoka jijini Nairobi Kenya mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Guardian Angel ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Wewe akiwa amemshrikisha mwandada Esther Wahome.

Video hii imeongozwa na director Richie G. kutoka studio za ATL Entertainment na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Simba Sound Production chini ya mikono ya prodyuza Vicky Pondis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media Connection:
Facebook page: Guardian Angel
Instagram: @guardianangelglobal
Youtube: Guardian Angel Global

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top