Connect with us

Music Video | Audio: Grace Fadhili – Baba Yetu

Video

Music Video | Audio: Grace Fadhili – Baba Yetu

Kutoka Demokrasia ya Kongo leo nimekusogezea video nzuri ya sifa iitwayo Baba Yetu kutoka kwa muimbaji anayefahamika kwa jina la Grace Fadhili. video hii imeongozwa na Bakari Ousaman kutoka studio za Crosslife Movement Production.

Baba Yetu ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa kiwango cha juu kabisa kupitia muziki huu ambao unaeleza upendo na uwezo wa Mungu kupitia jina la Yesu Kristo linavyoweza kutenda na kubadilisha maisha yetu kwa namna ya tofauti.

Nina imani utaifurahia kazi hii ambayo inakukumbusha kumpa sifa Mungu baba kwa maana yeye ndiye muweza wa yote. Karibu!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Grace Fadhili kupitia
Simu/WhatsApp: +254 790 16 53 77
Facebook: Grace Fadhili

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Video

To Top