Audio: Gospel Kid Feat. David Cosmas - Shukurani - Gospo Media
Connect with us

Audio: Gospel Kid Feat. David Cosmas – Shukurani

Audio

Audio: Gospel Kid Feat. David Cosmas – Shukurani

Kutoka kwenye albamu yake iitwayo Testimony, Gospel Kid ameachia wimbo wake mpya uitwao Shukurani akiwa amemshirikisha David Cosmas, Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza David Cosmas na kurekodiwa ndani ya studio za Overclassic zilizopo jijini Mwanza.

Shukurani ni wimbo uliobeba ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa yale ambayo ametenda kwa mtumishi huyu katika maisha yake na hata na kwako pia wewe ambaye unasikiliza wimbo huu una ushuhuda wa yale amabayo Mungu amefanya kwako mpaka sasa hivyo hatuna budi kurudisha sifa na shukrani kwake Bwana Yesu ambaye kwa kupigwa kwake sisi tumepona, tumetengwa mbali na dhambi.

Ni hakika wimbo huu utafanya maisha yako kuwa mapya kila siku kwa yale Mungu atakayokuwa anaendelea kuyatenda kwako kila siku, Barikiwa.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Gospel Kid kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 754 742 181
Facebook: Gospel Kid
Instagram: @gospelkid_tz
YouTube: Gospel Kid

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top