Connect with us

Audio: Goodluck Gozbert – Umeshinda Yesu

Goodluck Gozbert - Umeshinda Yesu

Muziki

Audio: Goodluck Gozbert – Umeshinda Yesu

Goodluck Gozbert - Umeshinda Yesu

Umeshinda Yesu ni wimbo wa tatu kuachia kwa mwaka 2019 kutoka kwa mwimbaji Goodluck Gozbert, Huu ukiwa ni wimbo wa pili kati ya nyimbo mbili alizoachia mfululizo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu uliobeba habari njema tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Goodluck Gozbert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top