Connect with us

Video: Goodluck Gozbert – Kama Si Wewe

Muziki

Video: Goodluck Gozbert – Kama Si Wewe

Mabibi na mabwana kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video ya wimbo mzuri uitwao Kama Si Wewe kutoka kwa mwimbaji maarufu katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania na Afrika Mashariki na kati huyu si mwingine bali ni Goodluck Gozbert.

Zaburi 124:1 Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ikiwa ni zawadi ya Krismasi na Mwaka mpya kwa watu wote, Barikiwa.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Goodluck Gozbert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top