Connect with us

Audio: Giveness Ngao – Zaidi ya Wimbo

Giveness Ngao - Zaidi ya Wimbo

Muziki

Audio: Giveness Ngao – Zaidi ya Wimbo

Giveness Ngao - Zaidi ya Wimbo

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Giveness Ngao ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Zaidi ya Wimbo, Huu ukiwa ni wimbo pekee unaobeba jina la album iliyorekodiwa mwaka 2016.

Tunaamini kuwa utabarikiwa kupitia wimbo huu ambao tumeusogeza kwako wakati huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Giveness Ngao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 497 827
Facebook: Giveness Ngao
Instagram: @giveness_ngao
Youtube: Giveness Ngao

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top