Connect with us

Video | Audio: Giveness Ngao-Nifundishe

Video

Video | Audio: Giveness Ngao-Nifundishe

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja mwimbaji wa nyimbo za Injili Giveness Ngao kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia video yake mpya iitwayo Nifundishe. Video ikiwa imeongozwa na director Hobo kutoka studio za HB Filmz na muziki ukiwa umefanyika ndani ya studio za Ritha’s Records chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

“NIFUNDISHE ni wimbo wa maombi kwa Mungu, nahitaji Mungu unifundishe na akufundishe na wewe kumpenda mbali na changamoto za kila siku tunazopitia katika maisha yetu. kama Neno la Mungu lisemavyo kutoka katika kitabu cha Warumi 8:35 – “Ni nani awezaye kututenga na upendo wa Kristo? Je, ni taabu, au dhiki, au mateso, au njaa, au ukosefu wa nguo, au hatari, au kifo?” – Alisema Giveness

Ni imani yangu kuwa utabarikiwa na kupata nguvu mpya ya Imani na matumaini kupitia wimbo na video hii nzuri na bora kutoka kwa mwanadada Giveness Ngao, karibu ubarikiwe!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Giveness Ngao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 497 827
Facebook: Giveness Ngao
Instagram: @giveness_ngao
Youtube: Giveness Ngao

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top