Connect with us

Audio: Geo – In My DM

Audio

Audio: Geo – In My DM

Baada ya kimya cha muda mrefu kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 rapa na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili akifahamika kwa jina Geo kutoka nchini Zambia ameachia wimbo wake mpya uitwao “In My DM”, Muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Native chini ya mikono yake mwenyewe.

“In My DM” ni wimbo anaomuelezea kijana ambaye amekuwa katika wakati mgumu kukabiliana na vishawishi vya msichana ambaye amekuwa akimfuatilia kimahusiano kwa muda mrefu na kwakuwa yeye ni Kijana aliyeokoka na anayempenda Yesu anaamua kumwambia ukweli msichana huyo kuwa haitaji kushawishiwa ili aingie kwenye dhambi ambazo mwisho wake ni aibu mbele za Mungu anahitaji kuishi kitakatifu ili aweze kutimiza kusudi lililowekwa ndani yake.

Nina imani kuwa utajifunza na kubarikiwa kupitia wimbo huu, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu, Ameen.

 

Download Audio

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top