Connect with us

Audio: Gclan Feat. TB1, Kelly Lyon, Living Water – Oghene Do REMIX

Audio

Audio: Gclan Feat. TB1, Kelly Lyon, Living Water – Oghene Do REMIX

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Oghene Do ikiwa ni Re-mix kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Gclan, akiwa amemshirikisha mwimbaji TB1, Kelly Lyon na Living Waters. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza OZ BEAT (@ozdbeat1) na kuboreshwa na
prodyuza Spiritual Beatz kutoka nchini Nigeria.

Oghene Do ni neno la lugha ya Igbo inayozungumzwa nchini Nigeria ikiwa na maana ya “Asante Mungu” kama wimbo huu unavyozungumzia juu ya kumshukuru Mungu kwa yale ambayo ameyatenda katika maisha yetu.

Ni hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu uliopambwa vionjo vya kiafrika vitakavyokufanya usikilize wimbo huu kila mara, karibu usikilize na kupakua, Barikiwa.

 

Download Audio

Social Media
| Instagram | Twitter: @gclanqed, @oz_dbeat, @_therealtb1, @kellylyonn, @ike.victor

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top