AudioVideo

Video | Audio: Gbenga Oke Feat. Onos – Mighty One God

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu Gbenga Oke kutoka nchini Nigeria ameachia wimbo wake wa Sifa uitwao Mighty One God akiwa amemshirikisha mwimbaji aliyebarikiwa sauti ya Upako anayefahamika kwa jina la Onos.

Mighty One God ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa kiwango cha juu sana kutokana na uwezo wake autendao juu ya maisha yetu jana, leo na hata milele. Anza leo kuabudu katika gari lako, nyumba yako, kazi yako na kila mahali ulipo kwa sababu Mungu wetu ni Mungu mkuu na anaweza kufanya ambayo hayawezekani.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni Imani yangu utakubariki!. Ameen.

Download Audio

Wasiliana na Gbenga Oke kupitia:
Instagram: @gbengaoke10
Twitter: @@gbengaoke_1
Facebook: Gbenga Oke YouTube: Gbenga Oke

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Michael Jefe – My Season

Next post

Video | Audio: Suleiman Wilson - Nakupenda