Connect with us

Audio: Gates To Destiny – He’s Risen

Gates To Destiny - He's Risen

Muziki

Audio: Gates To Destiny – He’s Risen

Gates To Destiny - He's Risen

Kutoka jijini Lusaka Zambia kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako bendi ya muziki wa Injili inayofahamika kwa jina la Gates To Destiny ambayo imeachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la He’s Risen.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top