Connect with us

Audio: FreyGod – Nikutumikie

Audio

Audio: FreyGod – Nikutumikie

Baada ya kimya cha muda mrefu toka alipoachia wimbo wake uitwao Jina Lako, kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 mwimbaji FreyGod ametuletea wimbo wake mpya uitwao Nikutumikie, Muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Njiku Records chini ya mikono ya prodyuza David Njiku.

“Kuna watu wananisengenya sana kwa mabaya hivyo ninamuomba Mungu anipe upendo nizidi kuwapenda na hatimaye niendelee kumtumikia Mungu mpaka siku ya mwisho nitakapopokea tuzo ya ufalme wa mbinguni – Alisema FreyGod

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki siku ya leo, Ameen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji FreyGod kupitia:
WhatsApp: +255 756 398 765
Facebook: : FreyGod Furugutu
Instagram: @freygodfurugutu_officially
YouTube: FreyGod Furugutu

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top