Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Fred Kwada – Greatest Passion

Audio

Audio: Fred Kwada – Greatest Passion

Kutoka nchini Nigeria tayari tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Greatest Passion kutoka kwa mwimbaji Fred Kwada, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Trinity Media chini ya mikono ya prodyuza Sahara.

Huu ni wimbo wa uamsho wenye ujumbe wa kukiri kutamani kusudi la kuishi na kumtumikia Bwana hasa katika kipindi hiki kigumu, Tukiwa na ufahamu kwamba sisi ni zaidi ya washindi kwa kila jaribio na vishawishi vinavyokuja katika maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Fred Kwada
Instagram: @fredkwada

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,794 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top