Connect with us

Audio: Frank Mjuni – Karibu Kwangu

Frank Mjuni - Karibu Kwangu

Muziki

Audio: Frank Mjuni – Karibu Kwangu

Frank Mjuni - Karibu Kwangu

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo uitwao Nani Kwa mara ya nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Frank Mjuni kutoka jijini Mbeya Tanzania ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Karibu Kwangu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Frank Mjuni kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 646 037
Facebook: Frank Mjuni
Instagram: @frankmjuni
Youtube: Frank Mjuni

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top