Connect with us

Video: Frank Madumere – I Testify

Frank Madumere - I Testify

Muziki

Video: Frank Madumere – I Testify

Frank Madumere - I Testify

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo uitwao I Testify kutoka kwa mtumishi wa Mungu Frank Madumere.

“I Testify is an inspiring video, showcasing a theme of God’s miraculous power, in the life of a woman who suffered a lot because of childlessness in the hand of her mother in-law. It’s typical of a Nigerian situation and hence the aptness of the story.” – Frank Madumere

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Instagram: @fm_4real
Twitter: @fm_4real

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top