Connect with us

Video: Frank Edwards – I’m Supernatural

Muziki

Video: Frank Edwards – I’m Supernatural

Baada ya kuachia wimbo wake uitwao “God Of Miracle” ikiwa ni moja ya nyimbo zake ziliofanya vizuri mwaka 2017, Mwimbaji maarufu Frank Edwards kutoka katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Nigeria ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “I’m Supernatural”. Muziki huu umetayaarishwa na mikono yake mwenyewe na kurekodiwa ndani ya studio za RockTown Kings Corner.

“I’m Supernatural” ni wimbo uliobeba ujumbe wa kuimarisha Imani zetu, Ni wimbo ambao hauzungumzii tu moyo wa mtu bali pia hali ya mtu. Huu ni wimbo unaohubiri na kutangaza nguvu isiyo ya kawaida na uungu katika Kristo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kusikiliza wimbo huu ambao nina imani kuwa utakuimarisha na kukupeleka mahali sahihi kila unampokaribia Mungu kwa ajili kumfanyia Ibada, Barikiwa!

Download Audio

Social Media
Facebook: Frank Edwards | Instagram: @frankrichboy |  Twitter: @frankrichboy YouTube: Frank Edwards

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top