Audio

Audio: Frank Edwards Feat. Mayo – Heaven Rocks

Kutoka katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Nigeria Mwimbaji maarufu Frank Edwards kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao “Heaven Rocks” akiwa amemshirikisha mwanadada Mayo.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za RockTown chini ya mikono yake na yeye mwenyewe Frank Edwards.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Frank Edwards
Instagram: @frankrichboy
Twittter: @frankrichboy
YouTube: Frank Edwards

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Ada - On My Matter

Next post

Huyu ndiye Nabii mdogo ambaye Mungu anamtumia kwa viwango vya juu