Connect with us

Video: Frank Albertson – Nisamehe

Muziki

Video: Frank Albertson – Nisamehe

Kutoka nchini Marekani kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Afrika Mashariki anayefahamika kwa jina la Frank Albertson na hii ni video yake ya kwanza kuachia inayokwenda kwa jina la Nisamehe, Ikiwa imeongozwa na director Barakito Rodrigue.

Biblia inasema, “kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;” (Warumi 3:23)
Ingawa sote tunatambua kuwa sisi ni wenye dhambi lakini kama unamwomba Mungu akusamehe basi anafanya hivyo Kwa sababu Yesu alisema, “Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.” Mathayo 11:28

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unaitazama na kusikiliza wimbo huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Frank Albertson kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (319) 400-4290
Facebook: Frank Esco
Instagram: @_frankesco
Youtube: Frank Albertson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top