Audio

Audio: Fortune Angelo – Strong

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mpya uitwao Strong kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Fortune Angelo, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Focus music chini ya mikono ya prodyuza Alpha @alpha_muzik

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: Fortune Angelo
Instagram: @fortune_angelo

Advertisements
Previous post

Audio: Eunice Kemunto - Nakupenda Yesu

Next post

Audio: Julius Fanta - Msalaba