Connect with us

Audio: Flourish Royal – Electricity

Audio

Audio: Flourish Royal – Electricity

Kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri uitwao Electricity kutoka kwa mwimbaji mahiri anayefahamika kwa jina la Flourish Osose Eremen maarufu kama Flourish Royal, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza DaGenius.

Electricity ni wimbo unaozungumzia nguvu na uwezo unaopatikana ndani ya mtu ikiongozwa na Roho Mtakatifu ambaye ndiye mwenye uwezo wa kuruhusu nguvu hiyo kutumika pale inapotakiwa kufanyika hivyo na nguvu hiyo inakuwa kama umeme inapoingia ndani ya mtu huyo na kutenda mambo makubwa na yasiyotegemewa kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini utaufurahia na kubarikiwa!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Flourish Royal
Instagram: @flourishroyal
Twittter: @flourishroyal21
Youtube: Flourish Royal

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top