Videos

Video | Audio: Florence Andenyi – Mungu wa Miungu

Baada ya kufanya vizuri kupitia video yake ya Funguo akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri kutoka Tanzania huyu hapa Florence Andenyi kutoka jijini Nairobi kenya leo kwa mara nyingine ameachia vieo yake nzuri iitwayo Mungu wa Miunguvideo ikiwa imeongozwa na studio za M-Town Production na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Nairobi Records chini ya mikono ya prodyuza Teddy B.

Nina imani utabarikiwa na video ya wimbo huu na kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama na kupakua wimbo huu. Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Florence Andenyi kupitia:
Facebook: Florence Andenyi
Instagram: @florencendenyi
Twitter: @andenyiflorence

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio: Judith Mbilinyi - Jina la Yesu

Next post

Audio: Ayo Vincent – Your Presence Is Here