AudioVideo

Video | Audio: Florence Andenyi-MAJIBU

Kutoka nchini kenya leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tunaitambulisha video ya wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka kenya anayeitwa Florence Andenyi video hii inaitwa MAJIBU ikiwa imefanywa na M-TOWN  Production na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Nairobi Records chini ya mikono ya producer Paulo iliyopo jijini nairobi Kenya.

Karibu kuitazama video hii na kupakua wimbo huu wa Majibu kutoka kwa mwimbaji Florence Andenyi. Barikiwa sana.

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

VIDEO: RUNGU LA YESU AKIIMBA WIMBO WA 'UTAKATIFU' KWENYE USIKU WA GOSPEL HIP HOP.

Next post

OnSTAGE:YESU OKOA MITAA WALIVYOIMBA WARAKA WA PILI KWA MARA YA KWANZA KANISANI DCT TABATA.