Audio: Felix Ifo – Steady Alert - Gospo Media
Connect with us

Audio: Felix Ifo – Steady Alert

Audio

Audio: Felix Ifo – Steady Alert

Ifechukwude Felix Ogigai, maarufu kama Felix IFO aliyezaliwa Februari 14 katika mji wa Delta State nchini Nigeria ni Morship leader, Music director, Mwandishi wa nyimbo na mtayaarishaji wa muziki nchini Nigeria, Amekuwa akifanya kazi katika sekta ya muziki kwa miaka kadhaa na sasa ameamua kubariki dunia kupitia muziki wake mwenyewe.

Steady Alert ni wimbo wa sifa unazozungumzia jinsi ulivyoshinda, jinsi ulivyobarikiwa na kile ambacho Mungu amekufanyia kwako mtukuze Mungu licha ya hali zote unazopitia.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

 

Social Media:
Facebook: ifofelix
Instagram: @ifofelix
Twitter: @ifofelix

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top