Connect with us

Audio: Farlon Lyte – My Advantage

Audio

Audio: Farlon Lyte – My Advantage

Kutoka nchini Afrika Kusini leo nimekuletea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao My Advantage kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Farlon Lyte, ikiwa ni moja ya wimbo ulio katika albamu yake mpya iitwayo LYTETHOUSE WORSHIP inayopatikana kwenye stoo mbalimbali mtandaoni.

“kuwa na roho takatifu ni ushuhuda halisi na ni faida kwa mtoto wa Mungu!” –  Farlon Lyte

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu, na hakika utabarikiwa, Ameen.

 

Download Audio

Website: www.thelytehouse.org

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top