Connect with us

Audio: Faraja Hannington – Pendo

Muziki

Audio: Faraja Hannington – Pendo

Baada ya kufanya vizuri mwezi Machi 2018 kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salam Tanzania Faraja Hannington ametusogezea wimbo wake mpya uitwao Pendo tukiwa mwishoni kabisa kufunga mwaka 2018.

Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za 6 Records chini ya mikono ya prodyuza Sajo.

“Hakuna kitu kikubwa kama upendo, zaidi upendo usio na kipimo, Unaweza jiuliza pasipo PENDO la Mungu ungekuwa wapi, Inafika mahala tunatakiwa kumshukuru Mungu maana kwa yale aliyoyatenda kwetu na anayoendelea kuyatenda ni makubwa, Hatuwezi lipa gharama za Mwana wa Mungu Yesu Kristo pale msalabani, lakini yatubidi kumrudishia sifa na shukurani.” – alisema Faraja

Tunaamini wimbo huu utakwenda kukubariki kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Barikiwa!

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Faraja Hannington kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
YouTube: Faraja Hannington

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top