Fahamu mambo 5 unayotakiwa kufanya kila siku ili ufanikiwe - Gospo Media
Connect with us

Fahamu mambo 5 unayotakiwa kufanya kila siku ili ufanikiwe

Mafundisho

Fahamu mambo 5 unayotakiwa kufanya kila siku ili ufanikiwe

Mwimbaji na Mwandishi wa vitabu vya hamasa kwa vijana na jamii anayefahamika kwa jina la Valeriano Ulrick Mtundu leo kupitia channel yako pendwa ya Gospo TV ametuletea ujumbe wa kukujenga na kukupa maarifa mapya katika maisha yako ambapo leo anatukumbusha mambo matano ambayo unapaswa kuyafanya kilasiku ili ufanikiwe katika maisha yako.

Valeriano Mtundu tayari ameshaachia vitabu kadhaa ambavyo kwasasa vipo sokoni kikiwemo kitabu chake kipya kinachobebwa kwa jina la MALENGO YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO, kilichozinduliwa hivi karibuni.

Nina hakika utabarikiwa na kuinuliwa kupitia mafundisho ya hamasa kutoka kwa mtumishi huyu wa Mungu Valeriano Mtundu ambaye ni mwandishi wa vitabu vya hamasa kwa jamii.

Waweza kuwasiliana na mwandishi Vareliano Mtundu kupitia Simu namba/WhatsApp: +255 769 006 725
Facebook: Valeriano Mtundu.

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Mafundisho

To Top