Audio: Fad_ink Feat. Dorcas Japhet - Nakupenda - Gospo Media
Connect with us

Audio: Fad_ink Feat. Dorcas Japhet – Nakupenda

Audio

Audio: Fad_ink Feat. Dorcas Japhet – Nakupenda

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekuletea wimbo uitwao Nakupenda kutoka kwa mwimbaji mpya anayefanya muziki wa Injili kwa mtindo wa Hip-Hop anayefahamika kwa jina la Fad_ink akiwa amemshirikisha mwanadada Dorcas Japhet. Muziki huu umeteyaarishwa na mikono ya prodyuza Eribless Liundi kutoka ndani ya studio za Blessed Music Industry(B.M.I).

Nakupenda ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Bwana wetu Yesu Kristo kwa yale ambayo amemtendea mtumishi huyu katika maisha yake, pia katika wimbo huu rapa Fad_ink amewahamasisha watu kuacha maisha ya dhambi na kurudisha maisha yao kwa Yesu kwani yeye ndio kimbilio letu hakuna mwingine kama yeye.

Nakukaribisha sasa kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani utaweka neno jipya ndani yako, Barikiwa.

 

Download Audio

Social Media
Instagram: @officialfad_ink

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top