AudioVideo

Video | Audio: Fabrice J Prince – Bila Wewe

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo na video yake iitwayo Amani ya Moyo aliyoiachia Dec 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Fabrice J Prince mwenye asili ya Tanzania akiishi nchini Marekani ambaye  hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Bila Wewe”, Video imeongozwa na director Traveler kutoka Kwetu Studios na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Love Music Production.

Yohana 10:28-30 “28 Mimi nawapa uhai wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa mkononi mwangu. 29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba. 30 Mimi na Baba, tu mmoja.” 

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kuitazama video hii na hakika utabarikiwa kila wakati, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Fabrice J Prince kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (434) 806-4216
Facebook: Fabrice J Prince
Instagram: @official_fabricejprince
YouTube: OfficialFabriceJ Prince

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Hellen Sogia - Umetukuka

Next post

Audio: Agent Snypa Feat. Pastor Ruthney - Special