Connect with us

Video: Ezekia Mwifyusi – Mapito

Video

Video: Ezekia Mwifyusi – Mapito

Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Mapito kutoka kwa mwimbaji  Ezekia Mwifyusi.

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Azalia kutoka studio za Aza Media, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Mwamwaa akishirikiana na Kelvin kutoka studio za T-Motion Music.

“Mapito ni nyimbo ambayo inamtia moyo mtu kutokana na mambo mbalimbali anayoyapitia kuwa hata kuwa kama alivyo leo kwenye safari aliyonayo Mungu yupo pamoja naye.” – alisema Ezekia

Ni hakika wimbo huu utakutia moyo na kukupa nguvu mpya kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza wimbo huu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ezekia Mwifyusi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 116 112
Facebook: Ezekia Mwifyusi Eliah
Instagram: @ezekia_mwifyusi_eliah
Youtube: Ezekia Mwifyusi Eliah

2 Comments

2 Comments

  1. Chid Mbwagha

    February 10, 2019 at 8:09 am

    kazi nzuri,mungu akutie nguvu mtumishi,najua mwanzo ni mgumu:

  2. Anonymous

    February 11, 2019 at 7:11 pm

    Ubarikkwe sana ndugu yangu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top